Jinsi ya Kuongoza Ziara ya Nyumbani
 
Video Zinazofanana
    Mawasiliano

    Developing a Communications Plan

    Kupanga

    Kubaini Suluhisho ili Kushinda Vikwazo vya Matumizi

    Kupanga

    Jinsi ya Kuchora Ramani ya Eneo Lako

    Mawasiliano

    Planning Communication for SIAs

    Kupanga

    Jinsi ya Kuandaa Vipindi Maalum na Huduma za Mkoba

Rasilimali

Je kuna jamii katika eneo lako zenye kiwango kidogo cha kuchanjwa, au idadi kubwa ya kuacha kupokea chanjo? Je unajua kwa nini? kugundua na kuelewa yote yaliyo nyuma ya matatizo haya, unahitaji kuongea na watu ndani ya jamii. Unaweza kukutana na viongozi wa jamii na vikundi, lakini njia ya madhubuti ya kujifunza kuhusu matatizo ya uchanjaji ni kwa kuongea na walezi moja kwa moja.