Kuchagua Wanajamii Kuwa Waelimishaji wa Chanjo
 
Video Zinazofanana
    Mawasiliano

    Planning Communication for SIAs

    Mawasiliano

    Njia Ambazo Wabia wa Jamii Wanaweza Kukusaidia

    Mawasiliano

    Developing a Communications Plan

    Mawasiliano

    Can You Improve Coverage Rates Through Better Communication?

    Mawasiliano

    Jinsi ya Kuongoza Ziara ya Nyumbani

Rasilimali

Pale wananchi wa jamii husika wanapokuwa wakufunzi wa kujitolea wa chanjo, wanaweza kuongeza usambazaji wa ujumbe, na kuongeza ushirikiano wa jumla wa jamii. wakufunzi hawa wa kujitolea wanweza kusaidia kuwafahamisha walezi kuhusu dhumuni na faida za chanjo. Wanaweza pia kuwajulisha wana jamii kujua wakati gani na wapi uchanjaji utafanyika.