Jinsi ya Kufanya Hesabu ya Chanjo Zilizopo
Completing a Monthly Summary Report (without coverage rates)
Jinsi ya Kukokotoa Viwango vya Uharibifu wa Chanjo
Jinsi ya Kufuatilia Hifadhi ya Chanjo na Sindano Salama
Jinsi ya Kujaza Vocha ya Kuagiza na Kutoa
Stock ledger
Tracks the vaccines and safe-injection equipment in stock
Kama umewahi kuishiwa kabisa, unajua jinsi inavyokuwa kutokuwa na chanjo unapozihitaji. Njia mojawapo ambayo kituo chako inaweza kutumia kuzuia kuishiwa kabisa ni kwa kuweka ripoti ya mwezi ya shehena ya uhakika.