Jinsi ya Kuchora na Kusoma Taarifa za Utendaji wa Chanjo
Jinsi ya Kujaza Fomu ya Muoanisho
Jinsi ya Kuchora Ramani ya Wilaya Yako
Jinsi ya Kuchora Ramani ya Eneo Lako
Jinsi ya Kujaza Kadi ya Chanjo
IIP-Monitoring and Surveillance
How to collect and report data for monitoring and surveillance
IIP-Microplanning
Microplanning for reaching every community
Watu waliokosa chanjo ni wale ambao muda wao wa kupato dozi ya chanjo umepita. Video hii itakusaidia kuwafuatilia wote waliokosa chanjo katika eneo lako na kuwafuatilia na dozi ya chanjo inayohitajika.