Jinsi ya Kuzungumza Kuhusu Madhara Yanayoweza Kutokea
 
Video Zinazofanana
    Upelelezi

    Conducting an AEFI Investigation

    Upelelezi

    Organizing AEFI Data as a Line List

    Upelelezi

    Support and Respond to an AEFI Causality Assessment

    Mawasiliano

    Cha Kuzungumza na Walezi Wakati wa Chanjo Kutolewa

    Upelelezi

    Jinsi ya Kuripoti AEFI

Rasilimali

Pale walezi wanapokuja katika wakati wa kutoa chanjo, wanaweza kuwa na wasiwasi kuhusu ni madhara gani chanjo inaweza kuwa nayo kwa mtoto. Katika video hii, tutaangalia jinsi ya kuwahakikishia walezi kwa kuwaelezea vitu vya kawaida vya kutegemea, kuwaeleza nini cha kufanya ikiwa vitu hivi vitajitokeza, na kuwajulisha kuhusu mambo ambayo yanahitaji uangalizi wa kitabibu.