Jinsi ya Kutumia Orodha ya Kukumbusha Vitu Vinavyohitajika Wakati wa Kutoa Chanjo
 
Video Zinazofanana
    Utoaji wa Chanjo

    Organizing Safe Immunization Sessions During COVID-19 Outbreaks

    Utoaji wa Chanjo

    Kutayarisha Sehemu ya Kazi ya Kutoa Chanjo

    Utoaji wa Chanjo

    Cha Kufungasha kwa Ajili ya Kipindi cha Kutoa Chanjo

Rasilimali

Kuna kazi na vitu vingi vinavyohusika katika kila hatua ya uchanjaji, kutoka kuangalia chanjo, mpaka kusoma kila sindano. Orodha ya Vitu vya kufanya wakati wa Uchanjaji inaweza kukusaidia kukumbuka kila kitu unachohitaji kwa ajili ya uchanjaji salama na kamili.