Jinsi ya Kutayarisha Vibeba Maji
Jinsi ya Kufungasha na Kutumia Kibeba Chanjo
Jinsi ya Kuchagua Modeli Sahihi ya Sanduku la Ubaridi au Kibeba Chanjo
IIP-Vaccine Cold Chain
Use and basic maintenance of cold chain and temperature monitoring equipment
Masanduku ya Ubaridi yanatumika kuhifadhi chanjo , pale umeme unapokosekana, au friji inapokuwa haifanyi kazi au wakati inatolewa barafu. ili kulinda chanjo, ni muhimu kujua jinsi ya kufungasha sanduku la ubaridi na kulifanya lifanye kazi vizuri.