Jinsi ya Kusoma Kifaa cha Friji
00:00
00:00
00:00
 
Video Zinazofanana
Rasilimali

Chanjo ni lazima zitunzwe na kusafirishwa katika nyuzijoto sahihi. Katika video hii, tutakuonyesha jinsi ya kutafsiri taarifa juu ya kifaa cha juu ya friji, ili uweze kufuatili vizuri nyuzijoto za chanjo.