Mambo ya Kufanya Kipindi Halijoto ya Jokofu la Chanjo Ikiwa Juu au Chini Zaidi
00:00
00:00
00:00
 
Video Zinazofanana
Rasilimali

Unasoma nyuzijoto asubuhi za Friji na kugundua kuwa ni nyuzi joto 12.6 za Sentigredi. Je una sabaabu ya kuwa na wasiwasi? Je unajua cha kufanya?