Jinsi ya Kusoma Kiashiria cha Kuganda cha Kielektroniki
00:00
00:00
00:00
 
Video Zinazofanana
Rasilimali

Wakati wowote chanjo inaposafirishwa au kuhifadhiwa katika kituo chako cha afya, inapaswa kuwekwa katika jotoridi sahihi kati ya nyuzi joto mbili hadi nane. Hii ni muhimu sana hasa kwa chanjo zisizotakiwa kuganda.