Wakati wowote chanjo inaposafirishwa au kuhifadhiwa, inapaswa kuwekwa katika nyuzijoto sahihi. Njia pekee ya kujua kwamba chanjo imewekwa katika jotoridi sahihi ni kufuatilia na kurekodi jotoridi la jokofu mara mbili kwa siku.
Ratibu Orodha Yangu ya Kutazama
Unda Orodha Mpya ya Kutazama
Sambaza: Jinsi ya Kusoma Kifaa cha Kufuatilia Halijoto cha LogTag