Jinsi ya Kutoa Chanjo ya Kumeza
00:00
00:00
00:00
 
Video Zinazofanana
Rasilimali

Chanjo za OPV na rotavirus ni chanjo ambazo zimezoeleka kutolewa kwa njia ya mdomo. Video hii itaonyesha hatua za jumla za utoaji wa aina hii ya chanjo