Jinsi ya Kufuatilia Halijoto Katika Vituo vya Afya
00:00
00:00
00:00
 
Video Zinazofanana
Rasilimali

Ufuatiliaji wa nyuzijoto ni ujuzi muhimu kuhakikisha chanjo zinahifadhiwa kiusalama. Katika video hii, tutakujulisha kuhusu vifaa na taratibu za kufuatilia nyuzijoto.