Jinsi ya Kufungasha na Kutumia Kibeba Chanjo
00:00
00:00
00:00
 
Video Zinazofanana
Rasilimali

Vibebeo vya chanjo ni vidogo na ni rahisi kuvibeba maboksi ya ubaridi, kwa hiyo yanatumika kwa ajili ya kampeni za ufikiaji. ili kulinda chanjo, ni mihimu kujua jinsi ya kufungasha kibebeo cha chanjo, kukitumia wakati wa uchanjaji, na kukitunza vizuri.