Aina Tatu ya Jokofu Zilizopo Kwenye Vituo vya Afya
00:00
00:00
00:00
 
Video Zinazofanana
Rasilimali

Ni aina gani ya friji kituo chako cha afya kinatumia kulinda chanjo na vizimuaji Tembelea vituo mbalimbali, na unaweza kukuta njia mbalimbali. Lakini pamoja na aina mbalimbali za friji, kuna aina tatu za kuzifahamu.