Vifaa vya Mnyororo Baridi ni Vipi?
00:00
00:00
00:00
 
Video Zinazofanana
Rasilimali

Unapochukua kichupa kutoka kwenye kibebeo cha chanjo, kuna uwezekano mkubwa kuwa imesafiri kwa maelfu ya maili kwa miezi mingi ili kufika hatua hiyo. Ikiwa njiani, chanjo zilitunzwa na kusafirishwa kwa kutumia vifaa mbalimbali kuifanya kuwa salama na madhubuti.