Chanjo Zinapaswa Kuwa na Halijoto Ipi?
00:00
00:00
00:00
 
Video Zinazofanana
Rasilimali

Ili chanjo ziwe salama , ni lazima zitunzwe katika nyuzi joto sahihi. Lakini mahitaji ya nyuzi joto yanatofautiana kati ya chanjo na chanjo.