Video Zinazofanana
    Ufuatiliaji

    Jinsi ya Kuchora Ramani ya Wilaya Yako

    Utunzaji chanjo katika hali ya ubaridi

    Kutumia Takwimu za Halijoto ili Kutatua Matatizo ya Vifaa vya Mnyororo Baridi

    Utunzaji chanjo katika hali ya ubaridi

    Jinsi ya Kusoma Kifaa cha Kufuatilia Halijoto cha LogTag

    Utunzaji chanjo katika hali ya ubaridi

    Kiashiria Mchakato ni Nini?

    Kupanga

    Kuingiza Suluhisho Katika Mpango wa Utekelezaji wa Wilaya

Rasilimali

Utahitaji mpango wa dharura pale inapotokea kuna tatizo katika vifaa vyako. Orodha ya vitu inawasaidia mafundi kupanga matengenezo, kusimamia vipuri, na kujua maeneo gani yanaweza kuhitaji vifaa vipya au vya ziada. Jifunze jinsi ya kujaza orodha ya vitu , hatua kwa hatua.